Familia zahimizwa kuzingatia lishe bora

  • | KBC Video
    33 views

    Familia humu nchi zimehimizwa kukumbatia lishe bora kama mbinu ya kuiepusha na magonjwa yanayotokana na mitindo ya maisha. Akiongea wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kitaifa kuhamasisha umma kuhusu lishe bora, afisa mkuu wa shirika la Weetabix eneo la Afrika Mashariki, Dominic Kimani aliangazia dharura ya kubadilisha mienendo ya maisha ili kuzuia kuenea kwa magonjwa yasiyoambukizwa kama vile kisukari, shinikizo la damu na kunenepa kupita kiasi. Kampeni hiyo ilizinduliwa jijini Nairobi kuhimiza familia kuzingatia virutubishi kwenye vyakula yao..

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive