Polisi wakabiliana vikali na waandamanaji mtaani Kivumbi, Nakuru

  • | K24 Video
    24 views

    Wanafunzi wa shule ya upili ya Kimathi leo wamekabiliwa na wakati mgumu baada ya maafisa wa polisi kurusha vitoa machozi shuleni humo ambapo baadhi yao walizirai. Haya yamejiri huku maandamano ya wakaazi wa kivumbini yakiingia siku ya nne kutokana na madai ya kutoweka kwa mwenzao Brian Odhiambo ambaye wanadai aliuawa na maafisa wa KWS kwa kuvua samaki ziwani Nakuru.