Safari ya mrembo aliyeharibika ngozi kwa kutumia vipodozi vikali

  • | BBC Swahili
    1,263 views
    Tahadhari: Kuna picha zinazoweza kukukarahisha Nice Aston, 32, @thisisniceaston anasema baada ya kuvunja ungo aliamini chunusi zilizomtokea usoni mgongoni na kifuani zingekwisha Lakini hakuona mabadiliko yoyote hivyo ilimbidi kutafuta suluhisho la tatizo lake. Hapa anaelezea safari yake ya kuharibika ngozi hadi kupona #bbcswahili #waridiwabbc #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw