Uhaba wa damu : Hospitali nyingi hazina akiba

  • | KBC Video
    11 views

    Kila baada ya dakika kumi, kuna mgonjwa anayehitaji damu lakini wengi wao hukosa kupata damu hiyo kutokana na uhaba uliopo. Hivyo basi Wakenya wamehimizwa kujitokeza kutoa damu kuimarisha hifadhi ya damu na kupunguza uhaba wa damu hospitalini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive