Mwanafunzi wa miaka 21 auawa kwa kudungwa kisu Homa Bay

  • | KBC Video
    62 views

    Familia moja katika eneo la Lambwe, kaunti ya Homa Bay, inatafuta haki kufuatia mauaji ya binti yao mwenye umri wa miaka 20, Sheryl Awino, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Mawego National Polytechnic anasemekana kuuawa kwa kudungwa kisu na mpenzi wake. Wakati wa kifo chake, Awino alikuwa na ujauzito wa miezi minne.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive