Wimbi jipya la hofu lakumba familia za waathiriwa wa utekaji nyara

  • | K24 Video
    29 views

    Wimbi jipya la hofu limewakumba familia za waathiriwa wa utekaji nyara na wanaharakati wa haki za binadamu, wakijitokeza na kusema kuwa maisha yao yamo hatarini. Mateka 3 watatu wa kitengela walioachiliwa wameelezea kuandamwa na magari aina ya Subaru wanayoa mini ni ya maafisa wa polisi