Wanamazingira wakishinikiza ulinzi wa vyanzo vya maji

  • | KBC Video
    32 views

    Shughuli za kibinadamu kwenye vinamasi zimesalia kuwa tishio kubwa zaidi katika juhudi za kuhifadhi mazingira. Hatua za mwendo wa kobe za kufikia matokeo chanya zimewatia wasiwasi wadau ambao wametoa wito wa kupitishwa kwa hatua madhubuti ili kufanikisha uhifadhi wa mfumo wa ikolojia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive