Shule ya Thika ya wanafunzi wasioona yaandaa maonesho ya talanta

  • | KBC Video
    54 views

    Wanafunzi wenye matatizo ya kuona kutoka Shule ya Upili ya wanafunzi wasio na uwezo wa kuona ya Thika waliwaacha watazamaji hoi walipoonyesha vipaji vyao vya kipekee katika densi, uimbaji, uigizaji, na ukariri wa maishairi wakati wa tamasha la kuonyesho vipaji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News