KHRC wanataka uwajibikaji kufuatia visa vya utekaji nyara nchini

  • | KBC Video
    623 views

    Mwanaharakati Bob Njagi na kaka wawili Jamil na Aslam Longton ambao walidaiwa kutekwa nyara mwezi Agosti mwaka jana katika eneo la Kitengela, kaunti ya Kajiado, sasa wanawashtumu maafisa wa usalama kwa kujaribu kutatiza jitihada zao za kutafuta haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News