Wanafunzi wa shule ya upili ya walemavu ya Thika wajitokeza kuonyesha talanta na ubunifu wao

  • | K24 Video
    12 views

    Msemo wa ulemavu sio kutoweza umedhihirika pale wanafunzi wa shule ya upili ya walemavu ya Thika walijitokeza kuonesha talanta na ubunifu kama njia moja wapo ya kukuza vipaji na kukumbatia mtaala mpya wa elimu huku wakishiriki mashindano ya uanamitindo-kuimba ,michezo ya kuigiza na kughani mashairI.