Jamii asili za Lamu zahisi matatizo yao hayapewi kipaumbele

  • | Citizen TV
    743 views

    Viongozi wa jamii asili za kaunti ya Lamu zimetoa wito kwa walio na kura kushirikiana na kujitokeza katika uchaguzi mkuu ujao kwa wingi ili kuhakikisha uakilishi wao bungeni. Viongozi hao wa jamii za Wabajuni, Waboni na Wamijikenda wanasema ushirikiano wao ndio utahakikisha masuala yanayowazonga yanatatuliwa.