Machifu watano watoweka Mandera

  • | KBC Video
    447 views

    Kundi la mashirika mbalimbali limebuniwa kuongoza juhudi za kuwaokoa machifu watano ambao hawajulikani waliko, baada ya kudaiwa kufumaniwa na kutekwa nyara na washukiwa wa ugaidi katika kijiji cha Iresuki, kaunti ya Mandera leo asubuhi. Polisi wamesema machifu hao walikuwa wakisafiri kwa gari kuelekea mjini Elwak kwa ziara rasmi ya kikazi, wakati waliposhambuliwa na kutekwa nyara. Walinuia kukutana katika eneo hilo kupanga ziara ya rais William Ruto ya juma hili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive