Ulipaji ushuru : Serikali kuziba mianya iliyoko

  • | KBC Video
    45 views

    Serikali imechukua hatua madhubuti kuziba mianya iliyoko ya kukwepa kulipa ushuru katika shughuli za ununuzi na uuzaji mashamba. Waziri wa ardhi Alice Wahome anasema maafisa wa wizara hiyo wamehamasishwa kuhusu hatua watakazochukua kuhakikisha wanaafikia malengo ya ukusanyaji ushuru. Alisema haya alipotembelea afisi za usajili wa ardhi huko Thika ambako alitoa hakikisho kwamba mikakati imewekwa kutwaa ardhi yote ya umma iliyonyakuliwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive