Vijana Embu waunga mkono kauli Muturi

  • | KBC Video
    33 views

    Kundi moja la kutetea haki za raia katika kaunti ya Embu limetetea matamshi ya waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi kuhusu visa vya utekaji nyara ambapo amemhimiza rais William Ruto kubuni jopo la kuchunguza visa vya kutoweka kwa vijana wanaoikosoa serikali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive