Wakazi wa Gatimu, Nyandarua wataka wajengewe kivukio

  • | KBC Video
    20 views

    Wakazi wa wadi ya Gatimu katika eneo bunge la Ol Joro Orok kaunti ya Nyandarua wametoa wito kwa halmashauri ya usimamizi wa barabara kuu humu nchini kujenga kivukio cha wanaotembea kwa miguu kando na daraja la Riverside kwenye barabara yenye shughuli nyingi ya kutoka Nyahuru kuelekea Olkalaou na Gilgil

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive