Kontena za madini zilizokuwa zikielekea Uchina zanaswa Mombasa

  • | KBC Video
    148 views

    Kontena tatu zinazuiliwa na polisi kwenye bandari ya Mombasa baada ya kupatikana kwenye meli iliyokuwa ikielekea Uchina majuma mawili yaliyopita. Afisa wa idara ya uchimbaji madini kanda ya Pwani Paul Karue amesema mmiliki wa kontena hizo alikuwa amesingizia kwamba zilipakiwa madini ya manganese lakini uchunguzi ukabainisha kwamba zilikuwa zikisafirisha madini ya shaba nyekundu. Karue alisema uchunguzi unaendelea kuhusiana na tukio hilo ingwawa hakuna mtu aliyetiwa mbaroni kufikia sasa

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive