Msichana wa chuoni Kisii afa baada ya kuanguka kwenye shimo la choo

  • | NTV Video
    2,466 views

    Familia moja katika kaunti ya Kisii inakabiliana na hali ya huzuni baada ya binti yao, Celine Nyangweso mwenye umri wa miaka 20 ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika chuo anuwai cha Kisii kufariki siku ya Ijumaa iliyopita.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya