Wakaazi wa Tana-River wateta ardhi yao inavamiwa na wageni

  • | Citizen TV
    44 views

    Serikali kuu kupitia idara ya usalama imetakiwa kuweka mikakati kabambe ili kuzuia Mzozo kati ya Kaunti ya Tana River na kaunti ya jirani ya Garissa kuhusu mipaka