Gachagua alidai jamii ya waluhya haijatimiziwa ahadi na Rais

  • | Citizen TV
    1,342 views

    Mwakilishi wa wanawake kaunti ya Vihiga Beatrice Adagala amemsuta aliyekuwa naibu wa rais nchini Rigathi Gachagua kufutia matamshi yake kwenye mahojiano ya moja kwa moja na baadhi ya vituo vya radio vinavyomilikiwa na kampuni ya RMS hapo jana