Wagonjwa wa kifafa wasimulia masaibu

  • | KBC Video
    4 views

    Chama cha kushughulikia maslahi ya watu wanougua kifafa kimetaja unyanyapaa kuwa kikwazo kikubwa katika watu hao kupata huduma za matibabu humu nchini. Akiongea wakati wa kampeni ya uhamasisho kuhusu ugonjwa wa kifafa eneo la Naivasha kaunti ya Nakuru, afisa mkuu wa chama hicho, Ng'ang'a Ngechu alisema watu wawili kati ya watu 100 humu nchini wanaugua kifafa. Alisema dhana potovu inayohusisha ugonjwa huo pamoja na ushirikina vimechangia ongezeko la visa vya unyanyapaa dhidi ya wagonjwa hao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive