Mapigano ya DRC: Uhuru Kenyatta awataka Kagame na Tshisekedi kuzungumza

  • | Citizen TV
    1,762 views

    Msemaji Wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, Kanze Dena Amesema Kuwa Juhudi Za Kurejesha Amani Katika Jamhuri Ya Kidemokrasia Ya Congo Zilihujumiwa Pale Kamati Ya Mazungumzo Ya Jumuiya Ya Afrika Mashariki Ilipositisha Shughuli Za Kuzungumza Na Waasi Wa M23. Kamati Hiyo Inayoongozwa Na Kenyatta Imetaka Mazungumzo Kurejelewa Mara Moja Ili Kuzuia Janga La Kibinadamu Linalosababisha Na Vita Kati Ya Majeshi Ya Serikali Na Waasi Wa M23.