Je, mbwa wako atakula nyama feki?

  • | BBC Swahili
    147 views
    Mbwa wako anapobweka sana kwa ajili ya chakula chake cha jioni, mara nyingi anataka nyama. Lakini je, atafurahua nyama inayokuzwa katika maabara? Nyama hiyo imeanza kuuzwa kwa mara ya kwanza leo. Aliyetengeneza nyama hiyo anasema ina manufaa mazuri ya kiafya kwa mbwa, lakini pia ina manufaa kwa mazingira.