Mpango waanzishwa kuimarisha mazingira na sehemu ya lishe ya wanyamapori Baringo

  • | Citizen TV
    185 views

    Katika miongo minne iliyopita, Kaunti ya Baringo imeshuhudia kushuka kwa takriban asilimia 85 ya idadi ya wanyamapori kutokana na uharibifu wa mifumo ya mazingira kama vile nyasi na maeneo ya Mabwawa.