Wakaazi wa eneo la Kambi Simba Laikipia Magharibi walalamikia visa vya uvamizi wa ndovu

  • | Citizen TV
    116 views

    Wakazi wa eneo la Kambi Simba Laikipia magharibi wanalalamikia visa vya uvamizi wa ndovu ambao wameharibu mashamba yao na kuwasababishia hasara kubwa.