Wakulima katika kaunti ya Busia wahimizwa kupima kiwango cha asidi na madini katika mashamba yao

  • | Citizen TV
    88 views

    Wakulima katika kaunti ya Busia wamehimizwa kutumia msimu huu wa ukame kupima kiwango cha asidi na madini katika mashamba yao wakisubiri upanzi. Hatua hiyo inalenga kuimarisha uzalishaji wa chakula na kilimo biashara.Mapuuza ya wakulima katika kaunti ya Busia yamesababisha mavuno duni licha ya wakulima kuwa na mashamba makubwa yenye rotuba.