Viutravel imepata tuzo ya utalii

  • | Citizen TV
    126 views

    Viutravel imeibuka Mshindi wa Tuzo za Utalii nchini ikitwaa ushindi kama kampuni iliyotoa huduma Bora katika Safari za Nje ya nchi. Afisa Mkuu wa VIUTRAVEL Felix Musa amesema kuwa ushindi huo ni thibitisho kuwa VIUTRAVEL haina mfano kwa ubora wa huduma na ubunifu katika sekta ya utalii. Steve Shitera anaangazia mafanikio ya VIUTRAVEL