West Pokot: Wanawake 3 wafumaniwa baada ya kuiba mafuta na kuficha vibuyu katikati ya miguu yao

  • | NTV Video
    270 views

    Kizaazaa kilishuhudiwa mjini Kapenguria, West Pokot baada ya wanawake watatu kufumaniwa wakiiba mafuta katika duka kuu la Talai.

    Katika tukio hilo la kushangaza lililovutia umati mkubwa, inasemekana wanawake hao walionekana wakificha kibuyu cha mafuta ya kupikia katikakati ya miguu yao.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya