Wakaazi wa Kibera waendelea kukadiria hasara baada ya mkasa wa moto kutokea

  • | K24 Video
    6 views

    Wakaazi wa Kibera kaunti ya Nairobi wanaendelea kukadiria hasara baada ya mkasa wa moto kutokea eneo hilo hapo jana, na kuathiri zaidi ya familia 200.