Rais Ruto atoa wito kwa pande zinazopigana Congo kusitisha vita na kutoa nafasi ya mazungumzo.

  • | K24 Video
    37 views

    Rais William Ruto kwa mara nyingine ametoa wito kwa pande zinazopiagana masharaiki ya Demokrasia ya Congo kusitisha vita na kutoa nafasi ya mazungumzo. Rais Ruto amesema jumuiya ya afrika mashariki na jumuiya ya mataifa ya kusini ya Afrika yanafaa kuungana kumaliza mzozo huo ili kuepuka maafaa ya kibanadamau. Ruto ambaye pia ni mwenyekiti wa EAC ni miongoni mwa viongonzi wanaohudhuria kikao cha pamoja cha miungano ya EAC na SADC jijini Dar es Salaam Tanzania.