Ruto amesihi EAC na SADC kutafuta suluhu ya kudumu mgogoro unaoendelea DRC

  • | NTV Video
    2,422 views

    Rais William Ruto amesihi Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile Afrika Kusini SADC kutafuta suluhu ya kudumu ya mgogoro unaoendelea katika nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inayopitia mahangaiko kutoka kwa waasi wa M23.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya