Serikali itawekeza zaidi ya shilingi bilioni-18 kukarabati barabara ya Isiolo-Kulamawe-Modagashe.

  • | KBC Video
    230 views

    Serikali itawekeza zaidi ya shilingi bilioni-18 kukarabati barabara ya Isiolo-Kulamawe-Modagashe ili kuimarisha uchumi wa eneo la Kaskazini Mashariki. Hatua hii ni sehemu ya mpango wa serikali ya kitaifa wa kuunganisha kaunti za Isiolo na Mandera ili kurahisisha biashara baina ya kaunti hizo na nchi jirani za Somalia na Ethiopia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive