Mahabusu walitoroka na bunduki ya polisi

  • | Citizen TV
    1,432 views

    Polisi Kaunti ya Samburu wanawasaka mahabusu sita waliomuua afisa mmoja wa polisi katika eneo la Charda-Baragoi