Shirika la msalaba mwekundu latoa mafunzo Garissa

  • | Citizen TV
    46 views

    Shirika la msalaba mwekundu limeandaa mafunzo kwa wahudumu wa afya kutoka kaskazini Mashariki kuhusu mbinu za kuokoa maisha ya wagonjwa walio katika hali mahututi