Serikali ya kaunti ya Kilifi kutoa ufadhili wa elimu ya chekechea

  • | Citizen TV
    64 views

    Huku kukishuhudiwa ongezeko la watoto wanaorandaranda mitaani, serikali ya Kaunti ya Kilifi inapania kuanzisha mpango wa ufadhili wa masomo ya shule za chekechea katika Kaunti hiyo