Wakaazi wa Nyari kaunti ya Kilifi wagadhabishwa na kucheleshwa kwa kuajiriwa kwa naibu wa chifu

  • | Citizen TV
    597 views

    Wakaazi wa Nyari kaunti ya Kilifi wamegadhabishwa na kucheleshwa kwa kuajiriwa kwa naibu wa chifu wa eneo hilo baada ya mtangulizi wake kustaafu mapema mwaka jana