Vijana wa mihadarati wavamia Dagorreti na kusababisha machafuko makubwa

  • | NTV Video
    485 views

    Kulishuhudiwa kizaazaa katika mtaa wa kibiashara Dagorreti mchana kutwa, baada ya makambiliano makali kati ya wafanya biashara na genge la vijana linalokisiwa kuwa la walanguzi wa mihadarati, wanaoaminika kusababisha pakubwa kudorora kwa Hali ya usalama kote Dagorreti.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya