Zaidi ya watoto 400 wenye umri miaka 14 waandikishwa na watendaji wenye silaha
Zaidi ya Watoto 400 mashariki mwa DRC waliandikishwa na watendaji wenye silaha Januari na February mwaka huu huku wengine wakiwa na umri wa miaka 14 na wengine walichukuliwa kutoka kwenye shule na mitaani na kuwekwa katika hatari ya ghasia , shirika la save the children limesema na kunukuu katika tovuti yake.
Wafanyakazi wa ndani wa save the children walioko katika ulinzi wa Watoto kaskazini na kusini mwa jimbo la Kivu waliandika kesi mpya zaidi ya 400 kukiwa na makundi yenye silaha baina ya mwezi January na February mwaka 2025, wakati ghasia zilizozuka mashariki mwa nchi.
Baadhi ya watoto wanaripotiwa kuchukuliwa kutoka kwenye jumuiya zao na kupelekwa kwenye misitu kwa ajili ya kupatiwa mafunzo jinsi ya kutumia silaha bila matakwa yao.
Save the children inatoa msaada kwa watoto ambao wameachiliwa kutoka makundi yenye silaha . Mwaka 2024 kundi hilo lilisaidia takriban watoto 220 ambao awali walijihusisha na makundi yenye silaha katika majimbo ya Ituri , Kivu kaskazini na Kivu Kusini.
Watoto hawa wanapatiwa mafunzo ya kisaikolojia na msaada wa kiuchumi kwa ajili ya kuwawezesha kurejea kwenye jumuiya zao.
#watoto #silaha #drc #savethechildren #vita #jumuiya #familia #mafunzo #voa #voaswahili
14 Mar 2025
- Kisumu Court banned the use of genetically modified organism(GMO)
14 Mar 2025
- The death has left many questions, with State House remaining silent on the matter.
14 Mar 2025
- The journalist had worked at the media house for several years.
15 Mar 2025
- Arsenal’s incoming sporting director, Andrea Berta, spent 12 years at Atletico Madrid, a period in which they had tremendous success on the pitch and regularly conducted startling business in the transfer market. Berta joined the Spanish club in 2013,…
15 Mar 2025
- Former Commission for implementation of the Constitution (CIC) Chairman Charles Nyachae and immediate former Registrar of the Judiciary Anne Amadi have been listed in the first batch of 11 candidates to be interviewed for the position of chairperson of…
15 Mar 2025
- A police inspector has been sentenced to two consecutive one-year jail terms or pay a cumulative fine of Ksh.650,000 after being found guilty of corruption charges.
15 Mar 2025
- Sh1.3b tea stuck at port after Sudan bans Kenya imports
15 Mar 2025
- Mwangaza's impeachment sparks mixed reactions in Meru
15 Mar 2025
- Honouring benga star Musa Juma 14 years on, one of Kenya's greats
15 Mar 2025
- Student held for allegedly murdering girlfriend for declining abortion
15 Mar 2025
- Former governor found guilty in Sh50m tender scam
15 Mar 2025
- Dear Mr President, tough times call you to reflect on your leadership
15 Mar 2025
- Outrage over disruptions caused by Ruto Nairobi tours