Timu ya Taifa ya akina dada Harambee Starlets kambini, watachuana na Tunisia tarehe 21 ugani Ulinzi

  • | TV 47
    34 views

    Timu ya Taifa ya akina dada Harambee Starlets kambini.

    Harambee Starlets kuchuana na Tunisia.

    Ni mechi ya Kufuzu dimba la Kombe la Africa 2026.

    Mechi ya Kwanza kuchezwa ugani Ulinzi Complex tarehe 21.

    Mkondo wa Pili kuchezwa Tunis terehe 25.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __