Je, Kesi ya DRC dhidi ya Rwanda inahusisha mashataka yapi?

  • | BBC Swahili
    2,163 views
    Majaji Mahakama ya Afrika ya haki za Binadamu huko Arusha wameanza kukiliza kesi ambapo Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) imeishtaki Rwanda. Je ni kwanini imeishtaki Tutakupa jibu kwenye matangazo yetu ya Dira ya Dunia TV saa tatu usiku mubashara na @roncliffeodit kwenye ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. #bbcswahili #DRC #arusha Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw