Mudavadi ahimiza jumuiya ya Afrika kumuunga mkono Raila

  • | K24 Video
    223 views

    Ujumbe wa kenya ukiongozwa na mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi uko Ethiopia kwa kongamano la 38 la marais la muungano wa Afrika AU.leo na kesho Mudavadi atahudhuria kikao cha 46 cha baraza kuu la au kufanya chaguzi muhimu, kufanyia sera mageuzi miongoni mwa maswala mengine .Uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa tume ya muungano wa Afrika utafanyika wikendi hii na mmoja wa wagombea ni Raila Odinga.