Wahudumu hao wanaandamana kushinikiza malipo

  • | Citizen TV
    160 views

    Wahudumu wa afya kutoka kaunti za Uasin Gishu, Nandi, Elgeyo Marakwet, Trans Nzoia na Baringo hii leo wanaandamana kushinikiza serikali ya kitaifa ,kuwaajiri rasmi, na kutupilia mbali kandarasi za muda walizopewa