Familia inaishi kwa hofu eneo la Mlima Elgon

  • | Citizen TV
    133 views

    Familia moja kutoka kijiji cha Kaimugul eneobunge la Mlima Elgon kaunti ya Bungoma inaishi kwa hofu baada ya kundi la watu kuvamia boma lao usiku wa manane na kusababisha uharibifu kwa kukata miti