Viongozi Tana River wawataka wenzao kupima maneno

  • | Citizen TV
    390 views

    Viongozi wa kaunti ya Tana River wamewataka wenzao wa kaunti ya Garissa kukoma kuchochea wananchi kutumia mzozo wa mpaka kati ya kaunti hizo mbili kuzua uhasama