Kaunti ya Mandera imeanza kusambaza chakula

  • | Citizen TV
    152 views

    Serikali ya kaunti ya Mandera imeanza kusambaza chakula cha msaada wa familia 70,000 katika kaunti ndogo tisa za kaunti hiyo katika juhudi za kujiandaa kukabiliana na hali ya ukame