Kaunti nyingi zimeanza kulemewa kulipa madeni yake

  • | Citizen TV
    152 views

    Kesi zilizowasilishwa mahakamani kuhusiana na mgao wa fedha kwenye serikali gatuzi zimetajwa kuanza kulemaza utendakazi wa serikali hizo,hasa kufanikishwa kwa malipo ya madeni