Utafiti wa kimatibabu : Kongamano kuhusu utafiti wa kimatibabu laandaliwa Nairobi

  • | KBC Video
    3 views

    Wanasayansi humu nchini wanapendekeza kubuniwa kwa mfumo wa kanuni za uadilifu utakaohakikisha uchunguzi wa kisayansi wa kuaminika. Akiongea wakati wa siku ya pili ya kongamano la 15 la kila mwaka kuhusu utafiti wa kimatibabu, afisa mkuu wa utafitu katika taasisi ya utafiti wa kimatibabu- KEMRI Professa Elizabeth Bukusi alifuchua kuwa Kenya haina sheria madhubuti za kuhakikisha uadilifu kwenye utafiti licha ya kuwa na vituo 15 vya utafiti zikiwemo taasisi za elimu ya juu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive