Wanafunzi mia moja kutoka familia maskini walinufaika na msaada wa masomo Hamisi

  • | KBC Video
    4 views

    Zaidi ya wanafunzi mia moja kutoka familia maskini walinufaika na msaada wa masomo katika eneo bunge la Hamisi. Msaada huo ulitolewa na mwasisi wa wakfu wa Bwosi Rodgers Bwosi. Msaada huo unalenga kuwawezesha wanafunzi werevu kutoka familia maskini kukamilisha masomo yao ili waweze kujikimu maishani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive