Wawekezaji 18 kuwekeza katika kituo cha kiwanda cha Sagana

  • | Citizen TV
    278 views

    Kaunti ya Kirinyaga imewasajili wawekezaji zaidi ya 18 watakaojenga viwanda kwenye eneo la viwanda la Sagana.