Raila Odinga atamatisha kampeni zake za uchaguzi wa AUC

  • | Citizen TV
    11,721 views

    Zimesalia Siku Mbili Kabla Ya Uchaguzi Wa Mwenyekiti Wa Tume Ya Umoja Wa Afrika Na Naibu Wake Kufanyika Mjini Addis Ababa Nchini Ethiopia. Mgombea Wa Kenya Raila Odinga Tayari Ametamatisha Kampeni Zake Na Anajiandaa Kwa Uchaguzi Nchini Humo. Mkuu Wa Mawaziri Musalia Mudavadi Anaongoza Kikosi Cha Kenya Kumpigia Debe Raila Odinga.