Uchaguzi AUC I Rais Ruto ampigia debe Raila nchini Ethiopia

  • | KBC Video
    3,014 views

    Rais William Ruto yuko jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria kongamano la muungano wa bara Afrika,kabla ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa tume ya muungano wa bara hili,ulioratibiwa kuandaliwa siku ya Jumamosi. Rais Ruto anaungana na waziri mwenye mamlaka makuu na amabye pia ni waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Musalia Mudavadi,kuunga mkono uwaniaji wa Raila Odinga kwa wadhifa huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive